Huawei y600 bei gani?

Huawei y600 bei gani?

Dodoma moja

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2014
Posts
319
Reaction score
205
Wakuu,

Naombeni msaada kuhusu hiyo simu bei yake na ubora wake kwa ujumla, nimeambiwa ni double line lakini mimi nijuavyo huawei original huwa ni single line sasa sijui kuhusu hii simu.
 
lko poa xana mkuu mi mwenyewe ndo natumia na bei inategemea na eneo lakini bei ni kati ya 250000 up to 290000 iyoo bei ni kwa mpya
 
Back
Top Bottom