Huawei y530 inahitajika

Huawei y530 inahitajika

PSPA Pure'12 udsm

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2013
Posts
834
Reaction score
450
Kwa yeyote anaeuza simu tajwa hapo juu used lakini ikiwa katika hali nzuri naihitaji.

Kuna watu wana hujuma sana,mnaweka battery mbovu, memory card mnatoa cover na screen protector ndo mnauza utafikiri tunakomoana wakati unapewa hela. Acheni hizo,be fair.

Mi nataka used, najua dukani inauzwa 19500/= tu. Bei ni makubaliano kutokana na muonekano wa simu.

Mwenye nayo anicheck,nipo Dar!

0718257680
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom