Huawei ascend 210-0100 inauzwa

Huawei ascend 210-0100 inauzwa

tata mvoni

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2011
Posts
534
Reaction score
81
Habari wakuuu simu aina ya HUAWEI ASCEND Y 210-0100 inauzwa
SIFA ZAKE
  • Android 2.3
  • WCDMA
  • 1Ghz CPU
  • 1700mAh battery
  • 3.5 inch display with auto rotating screen
  • Accelerometer
  • Bluetooth 2.1 A2dp
  • Screen protector
  • Inatumia laini zote i.e ni unlocked
  • Pia ni touch screeen
Simu ni mpya iko kwenye box lake na vifaa vyake vyote
Bei ni tshs.210,000/=, mazungumzo yapo.
Kama waitaka nicheck hapa

0715304808

Naiuza kwa sababu ninayo nyingine.
mbele.jpg nyuma.jpg
 

Attachments

  • Root-Huawei-Ascend-Y210.jpg
    Root-Huawei-Ascend-Y210.jpg
    13.6 KB · Views: 123
Wakuuu nipeni offer yenu jamani simu mpya kabisa iko ndani ya box na vifaaa vyake vyote
 
Yan ww unauza huawei 210 kwa laki mbil wakat mia 40 inapatikana mpya
 
Yan ww unauza huawei 210 kwa laki mbil wakat mia 40 inapatikana mpya
watu hawatumii hata akili ikiwa 300 inauzwa laki na kitu hyo 210 itakuwaje, hyo ya kwake ajiandae kisaikolojia kupokea elf80 au tisini.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom