mkuu,
nakushauri tu...
hiyo simu unayotafuta apo juu kwa asilimia zilizozagaa kwenye soko ni za tigo...((locked))
za tigo zina tatizo lakukata mawasiliano ovyo ovyo kila ukiongea na simu wakati mwingine..((ni ka njia kakupia hela kwa target la soko lao kwa vijana kwasababu ndo wenye kupendelea kuonge zaid ya madakika ambayo wanapaga ili ukatwe na usikatwe airtime)).
kwa vijana wamjini wakaamua ku unlock,,sasaaa ku unlock za tigo zinakuja na prob.2..slow internet access..3G yako hutoifaidi sana
ushauri;; KAMa wataka huawei ..nunua kwa mtu ambaye haja in unlock,,yani iwe ya kawaida,,siyo via tigo,,
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.