and 100 others
JF-Expert Member
- Feb 3, 2023
- 4,515
- 14,976
Kama uliona simu ambazo ni foldable kama Samsung Galaxy Z fold, Galaxy Z flip na simu nyingine kama hizo ambazo ni foldable fahamu pia kuna laptop imetoka ambayo pia ni foldable ambayo ni Huawei MateBook Fold.
Kwa sasa inapatikana China pekee, RAM ni 32 GB na storage zinakuja na size tofauti 512GB/1TB/2TB SSD.
Bei ni kuanzia $3,330. Screen ni OLED ya inchi 18 inayokunjika.
OS inatumia Harmony OS 5 sijafahamu bado kama kuna uwezekano wa ku install windows, linux n.k... nadhani zikishaanza kuenea tutapata habari zaidi.
Kwa hili Huawei wametisha sana, wapo vizuri.