Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,063
- 43,492
Vipi huawei P8 unaonaje specification zake n its boxing?
1. Hawana processor ambazo ni top notch, kama exynos za samsung au A series za apple
2. Camera zao ni average hawana contract ambayo inawafanya wawe kipekee kama nokia pureview (toshiba na zeiss), apple (sony), samsung na isocell, nk
3.hawana display ambazo ni quality kubwa kama apple na retina, samsung na amoled, lg na oled nk wanatumia ips display za kawaida au tft
Ukija kwenye mic, speaker, na vyenginevyo yupo nyuma.
Huawei ni nini? Mnyama au gari? Naomba kuelimishwa
Processor yao ya kirin mpya (930 kama sjakosea) imepitwa na snapdragon 810 na 808.
Tunaziita snapdragon ni failure mwaka huu je huawei anakuwa nani?
Kuna simu mbili tu zenye hadhi ya flagship ambazo ni s6 na iphone 6 zilizobakia chip zake ni weak sana.
Kwenye kirin huawei ame opt overclocked cortex a53 kama mediatek. Mimi naona huawei yupo vizuri kwenye low end simu kama y550 ni nzuri sana.
Mkuu, hizi simu za huawei y550 naweza kuzipata wapi kwa hapa Tz?!
Na price yake ikoje mkuu?!
#ChiefMkwawa
Mkuu, hizi simu za huawei y550 naweza kuzipata wapi kwa hapa Tz?!
Na price yake ikoje mkuu?!
#ChiefMkwawa
Zinapatikana Mlimani City store ya Airtel - bei yake ni TSh.180,000/=
Zinapatikana Mlimani City store ya Airtel - bei yake ni TSh.180,000/=
natumia huawei y600 appreciate it
Inatumia line ngapi,mkuu??
Acha mzaha!
Hiyo mate7 nimeipenda unatoa lock kwa fingerprint ni balaa..
mbona hiyo ni apk tu,ipo playstore!