Uwezo wa China kupambana na US kwa muda mrefu ni mdogo. Wakienda hivi say kwa miaka mitano, China will collapse.
Sasa nani atanunua simu yenye OS ya mchina kwa mfano?
Tuna nunua vingapi toka kwa mchina? Trump ana tapa tapa tu. Anachojaribu kukizuia hata kiweza. China itampita USA tu.Uwezo wa China kupambana na US kwa muda mrefu ni mdogo. Wakienda hivi say kwa miaka mitano, China will collapse.
Sasa nani atanunua simu yenye OS ya mchina kwa mfano?
Nchi za Africa na AsiaUwezo wa China kupambana na US kwa muda mrefu ni mdogo. Wakienda hivi say kwa miaka mitano, China will collapse.
Sasa nani atanunua simu yenye OS ya mchina kwa mfano?
Mimi na wewe..!Uwezo wa China kupambana na US kwa muda mrefu ni mdogo. Wakienda hivi say kwa miaka mitano, China will collapse.
Sasa nani atanunua simu yenye OS ya mchina kwa mfano?
Tuna nunua vingapi toka kwa mchina? Trump ana tapa tapa tu. Anachojaribu kukizuia hata kiweza. China itampita USA tu.
Hapa hutamuona tena
sio kilamtu anapenda vitu vya usaUwezo wa China kupambana na US kwa muda mrefu ni mdogo. Wakienda hivi say kwa miaka mitano, China will collapse.
Sasa nani atanunua simu yenye OS ya mchina kwa mfano?
pambania ndoto yako itimie tutakuunga mkonoWataalam wetu mnafikiria nini ili mvumbue na kuacha mark zenu kitaifa na kimataifa? Kufa bila kuacha mark yako hasa ukiwa msomi ni bora usingesoma tu!
Binafsi sijasoma ila najipanga kuja ni bidhaa kabambe itokanayo na korosho,kaeni mkao wa kula 😋,hapa lzm niache mark yangu
Itendeeni haki elimu yenu.
Nalog off
Huawei wakishakuwa na OS ya kueleweka, wote hao watahama Android na kuhamia Huawei OS kwa sababu wanafahamu hata wao hawawezi kuwa safe dhidi ya US! Na usikute hiyo OS ina ruzuku kubwa toka serikalini ili kuhakikisha kampuni zingine za China zinaitumiaChina alishakua nayo ila soko la biashara liko kwa android mkuu hapo unazungumzia huawei tu ila bado china ina product nyingi za android matv na simu zinazofanya vizur kama xiaomi
Nadhani inabidi ifike mahali binadamu tuheshimiane.Huawei launches own operating system to replace Google’s Android
Huawei has rolled out its long-rumored Hongmeng operating system (OS), known as the HarmonyOS. The company says it can switch to the new system at any time, including on phones, if it is unable to use Android.www.rt.com
Katika hali ya kupambana kibiashara na Us ..China kaanza kumjibu Us kimya kimya.
Thaman ya Yuan imeshushwa.
Rare mineral hakuna kuuza Us.
Hakuna kununua soya beans toka Us.
Taka toka Us zimepigwa marufuku kwa nchi nyingi Asia.
China wamejipanga kupambana na Us bilashaka.
Kwa nini asionekane? Kuna ushahidi gani hapo ya kuwa China haitaipita USA?Hapa hutamuona tena
Program ambazo zinawika zote ni za Marekani. Hujui kama Huawei katikati huu mgogoro na Marekani imeshapata Hasara ya 30usb. Africa hawana uwezo wa kununua simu nzuri. Africa tunanua fake product za Mchina. Africa Sio ya kujitegemea Kwa Soko bado ni nchi maskini mno. Yaani bara lote la Africa uchumi wake unaachwa na uingereza tuu.Tuna nunua vingapi toka kwa mchina? Trump ana tapa tapa tu. Anachojaribu kukizuia hata kiweza. China itampita USA tu.
Hapa kuna diplomasia ya uchumi. Kuna leo na kesho na wakati Trump ndio anashabikia sera hiyo akiondoka sidhani kama mambo yataendelea hivyo hata hivyo kuna kamba nasikia amelegeza. Kule China wao lao moja na wana nguvu za kupambana na Trump au USA hivyo in the long run sioni watamzuia vipi mchina kuwa na uchumi mkubwa kushinda ule wa marekani.Program ambazo zinawika zote ni za Marekani. Hujui kama Huawei katikati huu mgogoro na Marekani imeshapata Hasara ya 30usb. Africa hawana uwezo wa kununua simu nzuri. Africa tunanua fake product za Mchina. Africa Sio ya kujitegemea Kwa Soko bado ni nchi maskini mno. Yaani bara lote la Africa uchumi wake unaachwa na uingereza tuu.