Huawei smart phones

Huawei smart phones

Joel360

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2013
Posts
986
Reaction score
657
jamani msaada kwa yeyote anayejua kuhusu hizi sim za HUAWEI Y200 anijulishe zinauzwa bei gani madukani? Au je tigo bado wanaendelea kuziuza? Au zilishaisha? Kama tigo bado wanaendelea kuziuza wanaziuza bei gani?
 
jamani kama kuna yeyote anajua hivi hizi huawei ambazo tigo wanauza ni sehemu gani nyingine wanauza na gharama yake ipoje?
 
Y200 sidhani kama kuna Tigo Shop yeyote bado inazo ila zilizopo sokoni ni Y300
 
jamani msaada kwa yeyote anayejua kuhusu hizi sim za HUAWEI Y200 anijulishe zinauzwa bei gani madukani? Au je tigo bado wanaendelea kuziuza? Au zilishaisha? Kama tigo bado wanaendelea kuziuza wanaziuza bei gani?
kwani we ndugu upo wapi? si uingie dukani ukaulzie!!!
 
jamani msaada kwa yeyote anayejua kuhusu hizi sim za HUAWEI Y200 anijulishe zinauzwa bei gani madukani? Au je tigo bado wanaendelea kuziuza? Au zilishaisha? Kama tigo bado wanaendelea kuziuza wanaziuza bei gani?

Mpigie huyu jamaa, anazo nyingi tu 0719011486
 
Kama huko dar nenda Kariakoo, Y200 ni 200,000 na Y300 ni 220,000 na discount unapata.
 
Hivi mbona hizi simu za huawei zimekuja kuwa na umaarufu wa gafla...???? Nini siri ya hizi simu wakuu??????
 
Back
Top Bottom