Huawei P8 model number ALE-TL00

korokwincho

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2014
Posts
1,071
Reaction score
1,317
msaada simu yangu hyo haina WCDMA bali ina TD-WCDMA basi 3g haisomi hata kidogo jpo GSM inasoma, tatizo itakuwa ni huo utofaut wa networks ama, picha yake inafuata kuhusu informations za simu pamoja na baseband ya networks yake
 
Attachments

  • 1451196826269.jpg
    34.2 KB · Views: 317
msaada simu yangu hyo haina WCDMA bali ina TD-WCDMA basi 3g haisomi hata kidogo jpo GSM inasoma, tatizo itakuwa ni huo utofaut wa networks ama, picha yake inafuata kuhusu informations za simu pamoja na baseband ya networks yake

There is no way around. .fanya kuirudisha tu , hiyo technology ni ya china vinginevyo huwez pata 3g sehem nyingine tena.
 
msaada simu yangu hyo haina WCDMA bali ina TD-WCDMA basi 3g haisomi hata kidogo jpo GSM inasoma, tatizo itakuwa ni huo utofaut wa networks ama, picha yake inafuata kuhusu informations za simu pamoja na baseband ya networks yake

kaka yangu n Huawei P7 TD-WCDMA dual SIM cards lakin 3g napata..labda kama kuna tatzo lingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…