Huawei P6 inagoma kuwaka naomba msaada

Huawei P6 inagoma kuwaka naomba msaada

Adolph

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2010
Posts
895
Reaction score
346
Wakuu nina huawei p6 ambayo inagoma kumalizia kuwaka....yani inawaka hadi ikifika kwenye logo ya huawei ndo inaishia hapo hadi chaji inaisha...

Nimejaribu kuireset imegoma...nimejaribu kui update kwa SD card imegoma...naomba msaada anayejua tatizo litakua wapi au wapi zilipo ofc za huawei niiipeleke...nipo dar
 
hard reset inatakiwa isolve this problem. kweli umeifanyia?
 
imefanyika mkuu na inasema successfully ila bado ngoma ikiwaka inaishia hapo hapo kwenye logo....

Ingia recovery wipe data/factory reset. Pia hakikisha una-wipe cache partition. Halafu jaribu kureboot
 
Ingia recovery wipe data/factory reset. Pia hakikisha una-wipe cache partition. Halafu jaribu kureboot

mkuu nimefanya vyote hivyo ila bado naona tatizo liko pale pale...kuna jamaa kaniambia itakua ni tatizo la hardware..
 
chukua firmware yako kisha download huawei extractor kisha weka firmware yako kisha extract flash either kwa kutumia custom recovery au tumia fastboot tatizo lako litakuwa solved
 
Back
Top Bottom