Mwana wa Nuru
JF-Expert Member
- Dec 3, 2012
- 590
- 415
kwa anayefahamu cha kufanya naomba aniambie nini nifanye ili modem yangu (huawei, E 1550)ifanye kazi tena maana haionekani tena kwenye komputa siku chache baada ya kui unlock.Asante.
Baada ya ku uninstall setup yake,imegoma kuinstall upya, kuna kingine cha kufanya?Asante.
upgrade firmware zake mi niliwahi kufanya hivyo nikafanikiwa