huawei modem inanitatiza

huawei modem inanitatiza

Sam pizzo

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2012
Posts
900
Reaction score
617
naomba mwenye ujuzi au ufahamu kuhusu ku unlock huawei modem E173, tatizo;nimefanikiwa ku unlock lakini ukiconnect modem ina detect network(Tigo,Vodacom n.k) bt ukiclick button ya connect,network provider name(tigo,voda) inapotea na haiconnect inaishia hivyo.
 
Back
Top Bottom