Huawei loses access to Android and Google Services

Hadi wafanikiwe kutengeneza kila kitu chao kampuni itakuwa ishakufa.

Kutengeneza chip au processor si sawa na kuzalisha juice.
Ninaamini hawajalala, na ninaamini watafanya plan B, kumbuka simu yao ndiyo inayouzwa ndanii ya China.
 
Tatizo hapa ni apps, playstore ina apps nyingi sana.. Hiyo OS mpya wataweza kushindana na gallery of apps from Android and IOS
 
Kwani mtu akinunua ndio sio mali yake? Hujajibu swali Android ni mali ya nani?
Kama umeshindwa kusoma na kuelewa misstari miwili tu ya mwanzo hutaelewa hata nikikuelezea kurasa nzima. Soma tena ujue tofauti ya mtengenezaji,mmiliki na mwanzilishi.
 
Huawei ana OS yake ambayo alishaiandaa tangu 2012, inasemekana wanaitumia nyuma ya pazia inaitwa hongmeng, samsung nao wanayo yao kama sijakosea inaitwa Tizen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…