simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,795
- 9,733
No need to worry YET,Wamiliki wa simu za kichina wajiandae kisaikolojia.Huawei Loses Access To Android and Google Services Following U.S. Ban
In the wake of the recent blacklisting of Huawei by the US government following a spat over national security, thegadgets-africa.com
Sidhani kama uko sawa. Hatujaiona hiyo OS ya Huawei, chochote chaweza kutokea. Fikiria kama Huawei watakuja na OS ambayo watashawishi simu zote za China ziitumie, nani ataibuka Mshindi? Kwani Android ni mali ya Mmarekani?Pamoja na azma ya Huawei kutengeza own OS hilibni pigo takatifu.Android is king.
Kutengeneza os mpya sio swala jepesi, nokia na samsung pamoja na ukongwe wao kwenye game walichemka.Sidhani kama uko sawa. Hatujaiona hiyo OS ya Huawei, chochote chaweza kutokea. Fikiria kama Huawei watakuja na OS ambayo watashawishi simu zote za China ziitumie, nani ataibuka Mshindi? Kwani Android ni mali ya Mmarekani?
Kwenye software wanaweza kujinasua lakini mpaka makampuni ya vifaa vya simu kama intel nao watacha kufanya kazi na huawei.Kwaakili zao wanawamaliza kumbe ndo wanawapa chamgamoto za kuunda system zao
Penye nia pana njia, hao wenzetu si kama sisi. Hawakati tamaa. Mimi.naona watafanikiwa tu. Mimi naona kwenye hardware wako mbai sana, hata vitu unavyokuta Ulaya na Marekani bado vingi vinatoka kwao. Nina imani watatoboa, na halafu wakitoboa hizo software zao zitafanya bidhaa zake ziwe cheap, na watateka soko la China, India, Africa na South America.Kwenye software wanaweza kujinasua lakini mpaka makampuni ya vifaa vya simu kama intel nao watacha kufanya kazi na huawei.
Kwaakili zao wanawamaliza kumbe ndo wanawapa chamgamoto za kuunda system zao
Kwani android ni mali ya naniSidhani kama uko sawa. Hatujaiona hiyo OS ya Huawei, chochote chaweza kutokea. Fikiria kama Huawei watakuja na OS ambayo watashawishi simu zote za China ziitumie, nani ataibuka Mshindi? Kwani Android ni mali ya Mmarekani?
Android ilinunuliwa na google na kijimilikisha kisheria kwamba yeye ndio aliitengeneza ingawa kiuhalisia alinunua project akaiendeleza.Kwani android ni mali ya nani
sasa vipi hii vita ikiwagusa na akina itel na tekno kweli kuna mtu atapost humu jf
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Vinatoka kwao wapi? Makampuni mengi ya vifaa vya simu kama intel ni ya kimarekani ambayo ndio yamepigwa biti yasifanye kazi na Huawei, hata kama yako China, unadhani atatokaje, aanze kutengeneza harwares zake na software?Penye nia pana njia, hao wenzetu si kama sisi. Hawakati tamaa. Mimi.naona watafanikiwa tu. Mimi naona kwenye hardware wako mbai sana, hata vitu unavyokuta Ulaya na Marekani bado vingi vinatoka kwao. Nina imani watatoboa, na halafu wakitoboa hizo software zao zitafanya bidhaa zake ziwe cheap, na watateka soko la China, India, Africa na South America.
Kwani mtu akinunua ndio sio mali yake? Hujajibu swali Android ni mali ya nani?Android ilinunuliwa na google na kijimilikisha kisheria kwamba yeye ndio aliitengeneza ingawa kiuhalisia alinunua project akaiendeleza.
" Android itself is completely free and open-source. You can get the source code at the Android Open SourceProject page. ... There are, however, closed-sourceparts necessary to make it usable, most notably device drivers and apps."
Soma hapo... Kuna closed na open source yake
Hadi wafanikiwe kutengeneza kila kitu chao kampuni itakuwa ishakufa.Penye nia pana njia, hao wenzetu si kama sisi. Hawakati tamaa. Mimi.naona watafanikiwa tu. Mimi naona kwenye hardware wako mbai sana, hata vitu unavyokuta Ulaya na Marekani bado vingi vinatoka kwao. Nina imani watatoboa, na halafu wakitoboa hizo software zao zitafanya bidhaa zake ziwe cheap, na watateka soko la China, India, Africa na South America.