Huawei ipi ni nzuri?

Huawei ipi ni nzuri?

Huawei ascend mate 7 nadhani kweny laki 7
Huawei honor 6 na 6 plus zote ziko poa nadhani kwenye laki 4 hadi 5.5
Huawei ascend G7 kwenye laki 5
 
huawei ascend mate 7 ndio mpango mzima, bei ni laki 9 na co laki 7 kama alivyosema jamaa apo juu! iko poa xn
 
Huawei hizi za laki hadi laki 2 na... Nyingi za Hizo ni mediatek hazina tofauti na tecno. Kama unataka simu tofauti na tecno, simu itakayokuhakikishia kupata updates basi tafuta hizo huawei za bei kubwa
 
Back
Top Bottom