nusuhela
JF-Expert Member
- Jan 26, 2014
- 6,624
- 8,441
Habari za wakati huu wanajukwaa.
Nimekuja na issue ambayo naamini ni ndogo sana kwa wazoefu wa mambo ya technology.
Ipo hivi, mimi ni muagizaji wa bidhaa china kupitia kikuu. Hivi juzi kati niliagiza mzigo ambao ndani yake palikua na simu aina ya Huawei honor v8.
Kusema kweli nimependa muonekano wake na uwezo wake maana ya Internal storage na kasi yake pia.
Ila ina shida moja. Hii simu sehemu kubwa ni lugha ya kichina na system yake sio android niliyoizoea na haina playstore.
Sasa nilikua nahitaji msaada kwa wazoefu. Ni nini naweza kufanya ili kuifanya itumie system ya android kama simu nyingine.
Napenda kuwasilisha