ZENITH
JF-Expert Member
- Feb 5, 2012
- 1,064
- 991
Naomba kujua kama simu za huawei ascend P1, P2...P6 zinapatikana bongo?na kama zinapatikana ni kwa bei ipi?
Kwa ufupi natafuta smartphone nzuri yenye bei chini ya laki 3.
Na kwa wale waliopo morogoro naomba kujua wapi nitapata huawei smartphones, thanks in advance.