Wana jamvi hii simu nimenunua kwenye posta dar kwenye tigoshop kama mnavyofahamu inauzwa sana huko. Ila baada ya kuanza kuitumia lwo ikiwa siku kama ua 6 nimeanza kuona matatzo ninapokuwa napokea simu au kupiga. Baada y kuanza kuongea ghafla ninae ongea anakuwa anisikii ila mimi namsikiap vyema.
Sasa hili sijui litakuwa ni tatizo la hizi simu, kwani stori kama hii nimeiskia kwa watu wengine wawili kabla yangu.
- Na mmoja wao alipojaribu kuwarudishia tigo wanamletea longolongo.
Ushauri wenu wana JF.
-mwenye experience nahizi simu.. kama ndio tatizo lake tatizo tutoe ushauri kwa wengine kuziepuka.
- aliyepatwa na tatizo kama hili na njia nzuri ya kuli'overcome.
Cc C6 chief-mkwawa Young Master
Hilo ni tatizo la software ina makosa kwenye coding, kwa kuwa sasa natumia simu! Kesho ntajitahidi kuandika procedure za kufwata ili kulitatua.
iringamkuu pandigichiza wewe ulinunulia tigoshop ipi!!??
Hilo suala screen kufa ni common sana?
Na vipi kuhusu hili tatizo la mic hao mafund wanaweza nisaidia
wakuu naomba namie soln ya hili tatizoHilo ni tatizo la software ina makosa kwenye coding, kwa kuwa sasa natumia simu! Kesho ntajitahidi kuandika procedure za kufwata ili kulitatua.
Unfortunately the software coding would only help for voip calls, anyway am still searching for a solution then i will bring it hapa
Mimi natumia y 300 zaidi ya miezi mitatu sasa haijawai sumbua chochote na hiko poa sana!!
vipi tatizo lako walirekebishaWakuu hata mimi nina experience hilo tatizo kwenye simu yangu siwezi kuongea zaidi ya dakika tatu mic inazingua nilinunua pale mliman cty pale tigo shop ngoja jumatatu niwatilie maguu nikajua ni tatizo la kwangu peke yangu
nilienda wakaniambia niache simu waipeleke kwa mafundi wao bahati mbaya mimi nilikuwa na data zangu ambazo ni muhimu kwa matumizi ya kesho yake na sikuwa na sehemu yoyote ya kuweka kwa muda ule nafikiri kurudi jumatatu ntakupa mrejesho mkuuvipi tatizo lako walirekebisha
cm nzur za bei ya 200,000/ mpaka 250000/ ni zp tuokoe hawa wenzetu.
Mkuu nieleweshe hiyo firmware ndio inakuwaje?
Na hiyo itamalizaje tatizo la mic
nilienda wakaniambia niache simu waipeleke kwa mafundi wao bahati mbaya mimi nilikuwa na data zangu ambazo ni muhimu kwa matumizi ya kesho yake na sikuwa na sehemu yoyote ya kuweka kwa muda ule nafikiri kurudi jumatatu ntakupa mrejesho mkuu