nimezitumia kea siku chache na sikuona tatizo lolote lile. sema tu mic na spika zake hazitoi sauti vizuri sana lkn zinafanya kazi vizuri.
nadhani hiyo ya kwako ndo ina matatizo, mm ninayo haijawahi kusumbua sauti, sema baada ya miezi 3 mpaka 4 hapo katikati lazima screen itakufa, so usishtuke nenda kariakoo kuna mafundi wanakubadilishia kwa 20 elfu za kitanzania.
Wana jamvi hii simu nimenunua kwenye posta dar kwenye tigoshop kama mnavyofahamu inauzwa sana huko. Ila baada ya kuanza kuitumia lwo ikiwa siku kama ua 6 nimeanza kuona matatzo ninapokuwa napokea simu au kupiga. Baada y kuanza kuongea ghafla ninae ongea anakuwa anisikii ila mimi namsikiap vyema.
Sasa hili sijui litakuwa ni tatizo la hizi simu, kwani stori kama hii nimeiskia kwa watu wengine wawili kabla yangu.
- Na mmoja wao alipojaribu kuwarudishia tigo wanamletea longolongo.
Ushauri wenu wana JF.
-mwenye experience nahizi simu.. kama ndio tatizo lake tatizo tutoe ushauri kwa wengine kuziepuka.
- aliyepatwa na tatizo kama hili na njia nzuri ya kuli'overcome.
Cc C6 chief-mkwawa Young Master
Hilo suala screen kufa ni common sana?
Na vipi kuhusu hili tatizo la mic hao mafund wanaweza nisaidia
Tatizo la spika ni tatizo la sm yoyote.cha msingi rudisha .palepale tigo ukirudisha wanapeleka kwa mafund wao .inatengenezwa inakua poa.
Kuhusu screen kufa sio kwel n baada ya miez mitatu itakufa.
I Have y ascend 200 ile ya toleo la nyuma kwa mda wa miez nane nw.iko poaaaa.sm yyote ya scrwwn touch aushauriw uiweke mfukon kwenye surual za jeans .huwa zinaaribika kioo.inataka matunzoooo.
Tatizo la spika ni tatizo la sm yoyote.cha msingi rudisha .palepale tigo ukirudisha wanapeleka kwa mafund wao .inatengenezwa inakua poa.
Kuhusu screen kufa sio kwel baada ya miez mitatu itakufa.
I Have y ascend 200 ile ya toleo la nyuma kwa mda wa miez nane nw.iko poaaaa.sm yyote ya scrwwn touch aushauriw uiweke mfukon kwenye surual za jeans .huwa zinaaribika kioo.inataka matunzoooo.
HIZO simu ni kimeo kinoma ya kwangu nimee ipirudisha pale posa mara 2 mara ya kwanza touch ilikuwa hai sense mara ya pili kamera aa nikaiuza ndugu yangu hivi sasa natumia nokia bila tatizo japo kuwh ile simu software yake niliikubali sana ila NI KIMIEO
Kwa kweli mkuu mimi sijawahi kutumia hizo simu hivyo sina kusema labda tumsubiri chief-mkwawa tumsikie naye ana lipi la kusema kuhusu hili.
Mkuu nieleweshe hiyo firmware ndio inakuwaje?
Na hiyo itamalizaje tatizo la mic
Mi natumia wiki ya pili sasa.mwanzo nilipata tatizo kama hilo nikawapelekea tigo as ivi iko poa.il a tatizo sijaweza kudownload video.nimejaribu application said I ya tatu