Huawei ascend Y300 imejilock

Al-shabaab

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2013
Posts
1,791
Reaction score
620
Habari wana jf
simu yangu tajwa hapo juu imejilock baada ya kuingiza pattern zisizo sahihi kwa kukosea kosea mara kwa mara ndo ikajilock
na kila nikiiwasha inataka niingize email na password nilogin.
msaada nifanye wadau niweze kuiunlock.?
 
Kanunue Nokia touch.. yenyewe hauto ichezea ovyo ovyo

Habari wana jf
simu yangu tajwa hapo juu imejilock baada ya kuingiza pattern zisizo sahihi kwa kukosea kosea mara kwa mara ndo ikajilock
na kila nikiiwasha inataka niingize email na password nilogin.
msaada nifanye wadau niweze kuiunlock.?
 
Fanya yafuatayo
->> Izime kisha ondo bettery na rudishia battery baada ya dk 2
->> Bonyeza kwa pamoja POWER na VOLUME UP
->> Hapo utaweza fanya FACTORY RESERT
TAHADHARI- Utafuta kila kitu ulichosave kwenye simu.
 
asante Mwl.RCT nitaleta mrejesho nikifanikiwa
 
Last edited by a moderator:
asante Mwl.RCT nitaleta mrejesho nikifanikiwa

Pia ingia youtube search HUAWEI ASCEND Y300 FACTORY RESERT ili kuangalia video za maelekezo ya nini ambacho unakifanya
KARIBU
 
Last edited by a moderator:
Fanya yafuatayo
->> Izime kisha ondo bettery na rudishia battery baada ya dk 2
->> Bonyeza kwa pamoja POWER na VOLUME UP
->> Hapo utaweza fanya FACTORY RESERT
TAHADHARI- Utafuta kila kitu ulichosave kwenye simu.

ninatakiwa nihold kwa muda gan hiyo power & volume? Mwl.RCT
 
Last edited by a moderator:
Nadhani hatua ndio hizo alizo elekeza mkuu hapo juu.
Vizuri kama ungekuwa na kawaida ya ku backup data zako, usingepata shida baada ya hilo zoezi maana litafuta kila kitu kwenye simu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…