M MIGNON JF-Expert Member Joined Nov 23, 2009 Posts 4,120 Reaction score 5,119 Apr 1, 2013 #1 Wakuu,nafanya kazi vijijini na naomba msaada wa ushauri kwa simu inayoweza kunisaidia ku access mail,download some files/attachment. Nimeiona hii android ya HUwaei inayouzwa na tigo na bei yake imenivutia. Naomba ushauri wenu.
Wakuu,nafanya kazi vijijini na naomba msaada wa ushauri kwa simu inayoweza kunisaidia ku access mail,download some files/attachment. Nimeiona hii android ya HUwaei inayouzwa na tigo na bei yake imenivutia. Naomba ushauri wenu.
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 62,925 Reaction score 77,185 Apr 1, 2013 #2 Ni nzuri sana kuna jamaa yangu anayo anafurahia huduma nyingi za kidijiti Mpaka nami nikashawishika lakini Mimi nilinunua Samsung GT-S6102 DUOS.
Ni nzuri sana kuna jamaa yangu anayo anafurahia huduma nyingi za kidijiti Mpaka nami nikashawishika lakini Mimi nilinunua Samsung GT-S6102 DUOS.
B bfexjan Member Joined Mar 11, 2012 Posts 64 Reaction score 14 Apr 1, 2013 #3 Ni nzuri nami pia ninayo inafanya maisha ya kidijitali kuwa mepesi...japo ukiweka some settings inakaa na chaji muda mfupi.
Ni nzuri nami pia ninayo inafanya maisha ya kidijitali kuwa mepesi...japo ukiweka some settings inakaa na chaji muda mfupi.
M MIGNON JF-Expert Member Joined Nov 23, 2009 Posts 4,120 Reaction score 5,119 Apr 1, 2013 Thread starter #4 Kennedy said: Ni nzuri sana kuna jamaa yangu anayo anafurahia huduma nyingi za kidijiti Mpaka nami nikashawishika lakini Mimi nilinunua Samsung GT-S6102 DUOS. Click to expand... Asante mkuu,that's why naipenda JF>
Kennedy said: Ni nzuri sana kuna jamaa yangu anayo anafurahia huduma nyingi za kidijiti Mpaka nami nikashawishika lakini Mimi nilinunua Samsung GT-S6102 DUOS. Click to expand... Asante mkuu,that's why naipenda JF>