ahsante kaka nimekupata vilivyo nitazidi kuleta mrejesho hapa kadri navyo songeaColor Matters. 6 Tips on Choosing UI Colors
Soma hapo ujue kuchagua color na kufanya mambo ya color alafu refer kwenye css sasa
But uchaguaji wa color unategemea na unachodesign kina maudhui gani mfano website ya kilimo inapendezaukiwa na white na green n.k
Vyivyo hivyo web nyingi za burudani zina black n.k so kila rangi ina maana issue sio tu css bali kuelewa mazingira husika ya audience wako then njoo kwa css.
Kuhusu editor sikushauri hiyo unayotumia
Tumia bracket editor ni free open source yenye extension kibao kwa ajili yako.
Faida yake ni quick preview yaani kama ulishawaitumia eclipse,netbeans ide unarun code kwenye button kwa juu vivyo hivyo na bracket editor,pia huitaji plugin kwa ajili ya theme yaani unaweza chagua blaxk thEme au white theme kwenye editor nzima uzuri wa black theme ni afya ya macho yako kama unakaa kwenye kiwanda/pc yako muda mlefu rangi nyeupe plus msosi unakula kama ni full wanga itakula kwako bro miwani inakusubiri.
Komaaa. Mkuu maisha mazuri yanataka bidii ....
live preview ya bracket ina support chrome by default kama Os yako ilikuwa umekwiusha install chrome but ata ukiwa na browser yoyote cha msingi chagua ipi iwe default browser kama unatunia mozilla ,opera,edge n.knashukru kwa ushirikiano wenu. jana nilianza kufanyia kazi ushauri wenu
kwenye upande wa writer nilipakua bracket
lakini nikitaka ku run kama walivyo elekeza kwa kutumia live preview ina goma
nakutana na errors in troubleshoooting
naomba mniwezeshe juu ya hiliView attachment 945498
ahsante nitaleta mrejesho soonlive preview ya bracket ina support chrome by default kama Os yako ilikuwa umekwiusha install chrome but ata ukiwa na browser yoyote cha msingi chagua ipi iwe default browser kama unatunia mozilla ,opera,edge n.k
nifuate hivi hiyo error kwisha habari yake.
1.set default browser alafu fungua html file live preview je imejubali?
kama vipi solution rahisi ni ;
i./right click project folder yako then open with bracket.
ii./ndani ya bracket click html file yako itaonyesha code zako.
iii./angalia kwenye bracket tab select file>enable experimental live preview
NOTE: BRACKET HAIFANYI LIVE PREVIEW KWA FILE ZA CSS BALI KWA HTML FILE TU MAANA NAONA KAMA UNALIVE PREVIEW CSS
{{ "komaaaaa sasa! " }}