Html & css

deogan

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2011
Posts
399
Reaction score
46
Salamu wakuu.
naomba kujuzwa kuna disadvantages gani kutengeneza website kwa kubase plainly on html5 na css?
content za hiyo website mainly ni media.
Shukran!
 
unaweza ingia hapa W3Schools Online Web Tutorials mkuu ukapata mwanga kuhusu hizo lugha.css is all about styles, huwezi tengeneza site kwa css peke yake, html 5 ni advancement ya html4, it makes a page more dynamic with its newly added features, eg animations,video etc.
 
Salamu wakuu.
naomba kujuzwa kuna disadvantages gani kutengeneza website kwa kubase plainly on html5 na css?
content za hiyo website mainly ni media.
Shukran!

Hakuna disadvantage. Html5 itakupa content structure na CSS itakupa style.

Ukitaka kuongeza uzuri wa site yako angalia nyenzo kama PHP na Javascript. Unaweza kuanzia hapa Free tutorials on HTML, CSS and PHP - Build your own website - HTML.net ambapo pana basics pamoja na discussion forums nyingi za web designers.
 
html na css ndiyo nimesomea hapo na nimefanikiwa kutengeneza some content from scratch kwa hizo mbili ila php na javascript zimekuwa ngumu kidogo ndio maana nimeuliza kama kuna disadvantage za kutumia htm na css peke yake.
 
html na css ndiyo nimesomea hapo na nimefanikiwa kutengeneza some content from scratch kwa hizo mbili ila php na javascript zimekuwa ngumu kidogo ndio maana nimeuliza kama kuna disadvantage za kutumia htm na css peke yake.

Nakushauri uendelee tu na hiyo website kwa kutumia HTML na CSS. As you progress utaona kama kuna umuhimu wa ku-finetune. Hii nadhani ni njia nzuri ya wewe kuwa expert. Anza na unachojua taratibu na baadae ufundi ukiongezeka utaona tu ni upungufu gani wa kurekebisha au kuboresha.

Good luck.
 
Inategemea na site unayotaka kutengeneza, html na css zinaunda muonekano wa site na zinakuwa zinasomwa na browser yako ili ziwe displayed kwa mtumiaji.

Ila kama unataka kufanya vitu kama search, kuhifadhi data, kuregister users, ku control access au kafanya business logic yoyote kwenye site yako basi itabidi utumie some sort of programming language ambayo ni server side kama php, java, c#, python, server side javascript etc hii itafanya unachotaka kisha itatema html ambayo itasomwa na browser. So kwa kifupi kuna vitu haviwezekani na html/css peke yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…