Zero_and_One
Member
- Jun 4, 2019
- 43
- 92
- Thread starter
- #21
MUENDELEZO.
TABLE
-Table inakuwa na rows na columns.
-Vyumba(cell) ndani ya table zinazotoka kushoto kwenda kulia tunaviita rows na vyumba kutoka juu ndani ya table kwenda chini tunaviita columns
JINSI YA KUANDIKA TABLE KATIKA HTML
-ilikuweza kuweza kuandika table tunatimia <table> elements .
-Ndani ya <table> element kuna kuwa na <tr> tag ambazo zitakuwa na maana ya table row. <td> ndani ya table itakuwa ina maaana ya table data.(Taarifa zinazoandikwa ndani ya table).
-Pia ndani ya table tutatumia <th> element ambayo itakuwa in maana ya table heading.
MFANO WA TABLE KATIKA Html Code.
MATOKEO YA CODE KATIKA BROWSER
SUMMARY:
-Table tuliyoandika kwanza haina muonekano mzuri kwahiyo kuna vitu tunabidi kuviongeza ili iweze kuonekana vizuri.
-Tukijifunza Css na Bootrap basi muonekano table utabadilika
-Katika code hapo za table tunaweza kuongeza width , cellpadding na cellspacing ili table yetu iweze kuonekana vizuri.
-kwenye ndani ya <table> tunaweza kubadilisha na kuongezea <table width="10" border="1" cellpadding="3" cellspacing="4"> <!-- code zinabaki kama zilivyo --> </table>
- width , border ,cellpadding na cellspacing zinakuwa katika pixel .(tukianza css tutaelezea vizuri)
MATOKEO KATIKA BROWSER YATAKUWA.
MFANO MWINGINE WA TABLE
ILI TUWEZE KUANDIKA TABLE NA KUTUMIA COLORS KAMA KWENYE TABLE HAPO JUU.BASI TUNAHITAJIKA KUTUMIA CSS.
SOMO LINALOFUATA NI KUHUSIANA NA FORMS.