HTC Wildfire A3333 vs TECNO P3

HTC Wildfire A3333 vs TECNO P3

Ndio mkuu nkikuwa nataka kulfaham hlo coz nataka ninunue cm kat ya hzo nkaambiwa nichague
 
mbona mimi nimeuza hio htc nimenunu tecno p5 na maisha swafi? inategemea na aina ya simu na sio majina. htc desire niliotumia mimi ni matatizo makubwa mpaka nimekonda kwa kuwaza jinsi inavyolamba charge. kwa sasa mambo safi na tecno p5.
 
Tecno china tu huwezi kulinganisha na HTC. HTC ilinganishe na galaxy Sony na iPhone
 
Back
Top Bottom