ManiTek TV
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 410
- 159
mkuu sina jina umetudanganya htc ni simu ya 3 kutumia android
simu ya kwanza ni t-mobile g1 october 2008 thena ikafatiwa na t-mobile mytouch 3g july 2009
mpaka october 2009 ndo ikatoka htc.
Source
A brief history of Android phones - CNET Mobile
Kuhusu htc kua simu ya kwanza ya touch screen
pia hili sio kweli simu ya kwanza touch imetengenezwa na kampuni inaitwa ibm na simu ilikua inaitwa simon (japo apple alikua ana prototype)
skuizi hamna kudanganyana mkuu kama nimedanganya lete source zako
Mkuu Chief Mkwawa kamera ya HTC sio Mgepixel 4 bali ni Ultrapixel 4. Tofauti ya megapixel na ultra pixel ni kwamba Ultrapixel inaruhusu mwanga zaidi katika kila pixel kwa 300%, pia pixel za Ultra ni pana zaidi ya za mega. Hivyo basi High Tech Computers (HTC) hawakudanganya. Ila tatizo la camera hii linaweza kuwa ni "smooth tonal gradation", lakini like for like baina ya megaxel na ultrapixel, ultrapixel ni bora mno. Hivyo kiujumla kamera ya HTC itafanya kazi vizuri zaidi katika mazingira ya mwanga mchache kuliko camera yoyote ya simu nyingine.
Chungulia makala yangu hii inayiochambua simu HTC One: Gajetek - Gajet na Teknolojia: HTC One na Kamera ya Altrapiksel
Inawezekana hujui kusoma na wala hujaelewa, ila ni vyema ukaelewa kwanza ,mimi sio mtu wa IT nasoma ninyi wataalamu wa IT mlichoandika kama history ya hizi gadgets Sipingi ila jua nini maana ya divices kwanza ndio uanze kunikosoa
HTC began designing some of the world's first touch and wireless hand-held devices in 1998
sdource; HT - Wikipedia, the free encyclopedia
Halafu kwewenywe hiyo link yako kuna hii note hujaisoma wewe
Editors' note: This list is current as of August 2, 2011. For brevity's sake, we've focused only on models previously or currently sold by U.S. carriers.
The first commercially available phone to run Android was the HTC Dream, released on October 22, 2008
suorce; Android (operating system) - Wikipedia, the free encyclopedia
ni kweli htc ndo wa kwanza kutengeza bidhaa za touch, japo hazikuwa za htc, hata hp palm top za mwaanzo zilitengenezwa na htc chief-mkwawa
Toleo zuri, ila wadau naombeni kujua bei na pics za HTC Desire C kama mwaisoma
315000 maduka ya posta dar.
mimi hizi smartphone zinanikera katika masual yao ya kuwa unlocked na locked alfu zinauzwa bei tofauti differnces inaweza ikawa mpk $ 100 kwani si watoe zote tu unlocked!!.....
Ingawa kuna baadhi ya wachangiaji wametoa taswira kwamba HTC ni kampuni ndogo au isiyo na uwezo mkubwa ukweli ni kwamba utafiti unaonyesha kwam wateja wa HTC mwaka 2012 wameridhika zaidi na simu zao kuliko wateja wa Samsung. Utafiti huu ulifanyika mara baada ya Samsung kutoa Galaxy S3 na Kabla ya Apple kutoka iPhone 5, hata hivyo iPhone iliongoza list nzima.
Mfano mzuri ni kwamba wakati Samsung wanaendelea kutoa simu za plastiki ambazo zinaonekana kama ni simu za bei rahisi (including S3), HTC One ina full aluminium body.
na utafiti unasema kua wateja wa windows phone wameridhika kuliko wa android, reason jeeee
reason ni simple wapo wachache kuliko android its easy kuwamanage.
So htc wanaridhika cause wapo wachache kuliko samsung.
Ila mkuu pia katika simu ambazo hazijali wateja htc imo sema tu wateja wenyewe hawajui.
Nakupa mfano kwenye windows phone kuna player wakubwa wa 3 nokia, samsung na htc.
Nokia kawapa wateja wake bluetooth sharing, samsung kwawapa tethering htc katoa nini?
HTC Windows Phone 8X ina bluetooth sharing, wireless/wired/bluetooth tethearing (by the way tethearing ni function inahitaji support ya software ambapo baadhi ya phone operators wanazi-block kwa hiyo huwezi kuwalaumu HTC kwa hili) na pia simu hii ni Near Field Communication (NFC), ambayo kwa sharing ni more effective kuliko bluetooth.
i thought nkiongea hivo utanielewa ngoja nikunjuke.
Nimemaanisha windows phone 7.5 mkuu ambayo imemiss vitu vingi sana na ikawa updated kwenda 7.8 nokia na samsung wameongeza vitu vingi sanaa ukiingia side ya nokia kwenye apss zao exclusive hukosi apps 1000 na upuuzi wakati wao htc last time walikua nazo 5 i think yani 5 huwezi amini hio ndo contribution yao kwenye os
same kwenye android hivyo hivyo tofauti na android yenyewe hukuti manjonjo manjonjo sjui chat on kama samsung au ui kama ya amazon, ile android isiyokua modified ndo unaikuta htc