Kwa sababu nimesha tumia baadhi ya hizo hasa kwa matumizi yangu zika ni disappoint mf. Samasung, na LG bt toka nime anza kutumia phantom pad sijawahi kujilaumu hasa kwa matumizi yangu hakuna kuheat ,na charge atlist inakaa tofauti na hizo za awali.
OK mkuu
Kirikuu ulitumia pia Samsung Tab na Pia Ulitumia Tecno Pad Na ukazilinganiasha au ulitumia simu ya Samsung ukalinganisha na Pad ya Tecno?
Mi pia ingawa sijawahi own ila nishawahi kuchukua simu ya Mtu ya Tecno nikafanya Comparison na Simu yangu ya Samsung. Nilijaribu kufanya katika Graphics za Ma-GAME. Nijue ipi ipo poa. Jamaa alikuwa na Tecno Pantom F7 na mimi ni S2 plus
Game Linaitwa GUNSHIP BATTLE
Kwangu Game aliclash hata kidogo na Tilting ipo vizuri sana ukiwa unacheza. Ila nipojaribu kuliweka kwake nikakutana na matatizo yafuatayo ingawa Tecno hiyo inaspecification kama zangu na kunizidi kwenye screen size yake ina 5 inches
1. Tatizo la Bluetooth
Hili sijaliona kwake tu ila kwa wengi wenye simu design ya Tecno. Nilifanya Backup ya Game ili niweze kumrushia na yeye kwa Bluetooth. Kila nikijaribu inagoma ku-detect na inafail ingawa Visibility kila kitu kipo sawa. Mpaka ujaribu sana na kurudia rudia kuwasha na kuzima ndo inakubali hiyo Bluetooth kudetect
2. Ukishamaliza kurusha
Ukiclick kwenye file ulilolirusha kwake hasa hasa Haya ma-game utaambiwa UNSUPPORTED file. Ila mpka ukalitafute kwenye Folder husika ndo kidogo inasaidia. Sasa kwa mtu kama hujajua basi utasema simu haisupport game husika
3. Kucheza Game Lenyewe sasa
Niliinstall vizuri game na Nikaanza kucheza. Mda wa kuload ulikuwa si Mfupi ulichukua mda kidogo. Graphics hazikuwa nzuri. Inakuwa nzito na crash. Background music na effects haziendani na Action ya Game Lenyewe
Najua unaweza kusema mi si mpenzi wa Magame ila kwa mtu ambaye anapenda kucheza Game kujifurahisha na kurelax sidhani kama atanunua Tecno. Kwahiyo pointi ni kujua unataka nn tu
Matatizo mengine ya Tecno in General
1. Hakuna Customers Service utakayoipata simu ikiharibika Zaidi ya Kwenda kwa Mafundi simu ambao wengine si waaminifu
2. Hakuna Updates za Simu yako
Kama imekuja na Android 4.1.2 ndo hiyo milele na milele. Na hasara zake ni hizi. Kuna baadhi ya application hutozipata kwa mbeleni maana zitahitaji update android system yako. Mfano GOOGLE launcher n.k
3. INFERIORITY
Watu wengi wa tecno hawawi huru kusema ninatumia simu ya Tecno. Wanajiona ni watu wa hali ya chini hata kama amenunua simu yenye laki 4. Mfano huyu jamaa niliyeJaribu simu yake. Yeye alifunika Ile LOGO kwa Nyuma ila mbele tecno haikuweka logo yao. Halafu pia TECNO nao washajua kuwa watu hawapendi ile Nembo wanajaribu kuificha sana kwa simu zao mpya wanazozitoa
Ni hayo tuu