Usifuate mkumbo ndugu watu hapa kila mmoja atajaribu kuvutia kwake, fika dukani halafu chukua simu unayoona inakufaa, kamwe mi siwezi kuisifia tecno kwa sababu sijawahi kuitumia na wala siwezi kuiponda kwa sababu sijawahi kuitumia, mi najivunia simu yangu ya htc desire 601 kwa sababu haijawahi kuniletea tatizo lolote