HTC phone!

idawa

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2012
Posts
25,308
Reaction score
38,526
wakuu kama kawaida sisi wengine tupo mikoani, na huku simu kama htc kuzipata ni nadra sana...nataka mnieleze nitapata wapi htc Desire c na desire x naamini hizi hazizidi laki tano..kama kutakua na nzuri zaidi ya hizo na bei niliyotaja unaweza kunielimisha..kifupi nataka nijue wapi nitapata nisihangaike kwenye jiji la wenyewe.!
 
nenda mlimani city mall kaulizie kwenye duka la A-phone au Fone shark ,sapna au hamidu telephone mitaa ya posta.
 
nenda mlimani city mall kaulizie kwenye duka la A-phone au Fone shark ,sapna au hamidu telephone mitaa ya posta.
asante mkuu.!
 
me naulizia i pand ya bei rahisi naweza pata wap
 
desire c 300,000 na desire x ni zaidi ya 500,000
 
desire c 300,000 na desire x ni zaidi ya 500,000

shukrani mkuu nishaipata Desire S..sasa hivi nipo ulimwengu wa Android nimeshaachana rasmi na syimbian.!!
 
Zipo hizi used 270000
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1363504691850.jpg
    3.1 KB · Views: 367
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…