HTC ONE X airplane mode turning off

mayayasilas

Member
Joined
Jan 27, 2013
Posts
43
Reaction score
5
Jaman mwenye msaada..nina htc yangu kwakwel sasa hivi wiki, inaniandika airplane mode turning off, na imefanya network imekata kabisa..nmejaribu kuzima kuwasha stil the same...mwenye msaada jaman maana sijui cha kufanya
 
Kwa uelewa wangu mdogo may be unaweza ukawa ni msaada kwako..
Nenda setting then nenda kwenye network pale juu kuna ya kwanza kabisa ni airplane mode sasa kuna kibox anngalia apo kama kuna tick ondoa hiyo tick
 
Yaan nmejaribu huko..shida ambayo inaleta ni kuwa..ukienda huko ukiweka off ndo inafanya kuandika..airplane mode is turning off...sasa shida ni hii huko kuturn off hakuishi..maana inatakiwa ikiwa tyr off iandike turned off..lkn yenyewe ndo hvyo tu sk zote ni turning off na network haiji..
 
Duuh!! Ningekua ni mimi ndio mwenye cm uwa cpendi usumbufu na reset simu nzima
 
Ndo nahitaj kitu km hicho mkuu..cjui naireset vp...chochote ambacho naweza fanya kwa sasa irud to normal nahitaj msaada
 
HTC sina uzoefu nazo sana ila nafikiri zinafanana tu na hii simu nitumiayo..apo kwenye setting apo juu kuna option kama nne hivi connections, my device, account, more.
Sasa nenda account then scrol mpaka mwisho utaikuta backup and reset click apo then fuata maelekezo..
 

Attachments

  • 1416518133636.jpg
    39 KB · Views: 75
Ua unaweza ona hiyo pic hapo ukapata ufahamu kwenye cm yako utaipataje hiyo reset
 
Au fuata hapo sasa
 

Attachments

  • 1416518559319.jpg
    49.2 KB · Views: 67
  • 1416518581407.jpg
    49.9 KB · Views: 65
Turn off airplane then nenda kwenye network select 3G
 
Turn off airplane mode, select mobile data, select kama ni 3G na ukiona hayo yote umefanya lakini bado tu usisumbuke sana wewe reset tu au tafutamsaada wa karibu mtu akurekebishie au watu watakuelekeza zaidi..usiku mwema ndugu
 
Jaman mwenye msaada..nina htc yangu kwakwel sasa hivi wiki, inaniandika airplane mode turning off, na imefanya network imekata kabisa..nmejaribu kuzima kuwasha stil the same...mwenye msaada jaman maana sijui cha kufanya
Mkuu ni vizuri ukaanza kuandaa mpunga mwingine kwa ajili ya simu nyingine, hizo simu za htc one x zililalamikiwa sana tabia hiyo ambayo hata htc support wenyewe alishindwa kusolve hili tatizo, zaidi kama umeinunua na una warranty yake ni bora urudishe ubadilishiwe simu nyingine kama ni second hand ndo imekula kwako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…