MKANDAHARI JF-Expert Member Joined Apr 7, 2011 Posts 5,760 Reaction score 6,695 Jun 5, 2015 #1 habarini wakuu! Naombeni kujuzwa nitapata wapi hii complete screen ya HTC ONE VX na kwa bei gani? Mwenye kujua plz anijulishe manake kariakoo nimezunguka bila mafanikio!
habarini wakuu! Naombeni kujuzwa nitapata wapi hii complete screen ya HTC ONE VX na kwa bei gani? Mwenye kujua plz anijulishe manake kariakoo nimezunguka bila mafanikio!