HTC one s screen replacement

Lukansola

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2010
Posts
5,435
Reaction score
1,611
Habari wadau,

HTC one s yangu imeanguka na kupasuka screen, na haiwaki. je, ni nani ataweza kunibadilishia na kwa gharama gani?

Nawatikia siku njema ya Mapinduzi,
 
Wakuu vipi, ina maana hakuna mwenye solution? kwa hiyo htc yangu ndo basi tena?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…