ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,662
Nimetokea kuipenda hii simu HTC one M9+ kwa sababu mimi ni mpenzi wa kupiga picha na selfie kibao nahitaji kujua bei ni sh.ngapi dukani nisije enda nikapigwa wajanja! Au haitanifaa kwa picha?