Nauza simu yangu HTC one M7 unlocked, imetumika kama miezi 4 iko katika hali nzuri sana screen protector, haina mchubuko. Ipo kwenye cover ya aina ya otter. Bei laki tatu na nusu. Niko Dar. 0672156295, Karibuni.

Unaposema BOXED haimaanishi kwamba ipo katika hali nzuri , bali humaanisha kwamba Ni BRAND NEW and UNBOXED. sasa kwa mtindo huu mzaha hautaisha humu jukwaani, ukileta tangazo ukafanyiwa mzaha usishangae.
Swala la kwamba simu imeuzika, haihalalishi kwamba BOXED = USED!