wakuu natumia HTC merge ila napata tatizo Kila nikitaka kurudi menu Huwa inaload kuwa muda kama wa dakika 5 ni nini inaweza kuwa tatizo ? if there any one amewah kutumia HTC na Kupata tatizo kama hili
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.