HTC desire msaada

said moshi

New Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
1
Reaction score
0
Habari za jioni wapendwa samahani ninatumia HTC desire A8181, nilikuwa naomba msaada kwenye YouTube inaandika no network connection lakini kwingine mtandao Upo vizuri na kinapelekea kutoonyesha menu ya video ?
 
Yawezekana net iko slow. Je inashika 3G? Kama inashika basi nenda kwenye app manager katika settings tafuta youtube app click ,clear data halafu jaribu tena kuitumia uone kama itakubali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…