Kwa kifupi WP7 haisupport USSD menus kikamilifu, ukishadial number ya kwanza kwa mfano *141# keyboard inapotea kunakuwa hakuna jinsi ya kuingiza selection yako. So hili ni tatizo la operating system ya simu.
Kuna watu wamepata mafanikio kufanya hivi, ingiza namba zote unapodial mara ya kwanza, kama unataka kupita *141# kisha kuchagua menu item 1. andika hivi *141*1# ikikataa hiyo jaribu *141#1#