Perry
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 10,082
- 2,358
Mambo zenu wakuu?
Kuna tabia wanayo ma-HR wenye asili ya Tanzania naweza kusema ni uswahili uliochanganyikana na roho mbaya +upuuzi +uchawi wa kiwango cha juu kabisa kuwahi kutokea toka tupate huru.
Unakuta mtu kaapply kazi mahali na kwenye CV yake anuani yake inaonyesha kuwa yuko mwanza au arusha, sasa unakuta kampuni husika mtu aliyoomba kazi iko Dar then unakua shortlisted alafu wanakupigia simu kukupa taarifa leo jioni saa 12 jioni halafu wanakuambia eti kesho asubuhi saa 3 uje kwenye interview mikocheni ukiwaambia kuwa uko mkoani wanajiuma uma alafu wanakata simu.
Hii tabia ipo kwenye makampuni ambayo ma-HR ni wabongo na wanafanya hivyo makusudi ili waweze kuweka watu wao wanaowataka maana wanajua we wa mkoani hutaweza kwenda.
Acheni huo ujinga mara moja, Tanzania itajengwa na watanzania wote kwa hiyo huo ujinga mnaoufanya nyie unazidi kudidimiza maendeleo ya taifa.