HPRS-AMSAADA

64-bits

Senior Member
Joined
Aug 21, 2017
Posts
124
Reaction score
51
Msaada,kijana anataka kujisajili huku HPRS ili atume maomba ya kazi,sasa sehemu hii ya mfumo wao haitaki kurespond(hiyo drop down box hairespond chochote) hivyo hawezi kuendelea na usajili,shida ni nini? Hata technical support hawapokei simu
 
Attachments

  • Screenshot_20260225-084258_Chrome.jpg
    91 KB · Views: 2
Ajaribu kutumia browser ya chrome, mara nyingi mifumo ya serikali inasumbua sana na pia afute 'cache and cookies', ikigoma kabisa asubiri usiku sana au asubuhi mapema ndo aingie tena
 
Ajaribu kutumia browser ya chrome, mara nyingi mifumo ya serikali inasumbua sana na pia afute 'cache and cookies', ikigoma kabisa asubiri usiku sana au asubuhi mapema ndo aingie tena
Thanks
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…