Katika pita pita zangu nimeiona mashine hii, nikaipenda ila nikaona niwaulize wataalam humu.
1. Ni upi uwezo wake katika video editing?
2. Je, mzigo huu naweza kuupata Dar?
3. Ni upi wastani wa bei yake kwa mpya na iliyotumika?
Msaada wenu wadau. Na ushauri wa other options na zilizo cheap.