kama unatumia windows nenda kwenye power option, na kama huijui ilipo bonyeza start then search power option. hapo utaona unaambiwa uchague muda wa computer kusleep eka never, then computer itakaa on 24hrs.
ila uangalie uwezo wa cpu na cooling zako zilivyo na kazi unayoipa mashine maana hali ya hewa yetu ya joto sana ni rahisi pc kupata moto sana. ikiwezekana nunua cooler au feni la kiaina kwa ajili ya kupozea