By elmagnifico
kwa hiyo bei hp touch pad unaiuza xpensive sana. Kwanza haina 3g wala sim card slot so ni mwendo wa wireless. Pili ina run web os so apps zake adimu sana so vigumu ku enjoy.
Half that price is better
Mkuu ndio maana nikasema price is
negotiable...hata hivyo hiyo kitu ina
microUSB v2.0, ambapo unaweza
kupachika usb broadband modem na
mambo yakawa swaafiii kabisa