Mau
Senior Member
- Apr 8, 2009
- 176
- 10
Habari zenu wakuu, naombeni mnielekeze sehemu hapa dar ambayo nitaweza kununua refill kit kwa ajili ya catrages za HP, nimetembelea sehemu nyingi hapa dar wengi wao wanarefill tu hawauzi tonner au ink na hawako tayari kuelekeza wanakonunua. naombeni msaada wenu ninahitaji sana