Hp pavilion inauzwa bei nzuri

Hp pavilion inauzwa bei nzuri

hata yangu imekata display toka mwezi wa 5 mpaka wa leo sijapata solution ya tatizo langu ila jamaa kanena neno limeniingia kikweli kweli
hiyo inawezekana kwa kufanyia reflow, tatizo ni kwamba huwa si solution ya kudumu, itaenda baada ya muda itazingua tena, itabidi ufanye tena reflow, so itakuwa kama routine
 
Mzee hungekuwa unajua computer husingenunua HP PAVILION! coz izo computer kimeo sana kama upo bongo zinakufa vga coz zinaoverheat kutokana na joto la bongo. ni za sehemu za baridi, we uza kwa hasara coz mda si mrefu vga kwesha na ndio mwisho wa mchezo! Tafuta boya uza! Au tumia external feni kupooza machine!

Malizia masomo yako ya chekechea kwanza ndo ujue kuandika lugha ya kiswahili.
Usijitie aibu zaidi ya hapo.
 
Nautoke hapa mazima!Pc yenye haina CD-ROM kumbe,alafu unakuja kusingizia mawingu apa.Em ka survey bei ya pc alafu urudi kuandika unaiuza 250k tena Kwa MSAADA!

Utahangaika sana mbona sasa image quality inahusiana na CD-ROM kivipi?
Huna hoja kaa kimya mkuu
 
Hilo lijamaa linalouza hiyo hp ni bishi kama mshipa yaani sijui likoje linaelezwa lakini gumu kufahamu n uenda anauza sababu ameambia hiyo kitu kimeo

Acha mipasho kama unahitaji kuvaa madira nenda kanunue hili ni jukwaa la matangazo
 
so natakiwa niitumiaje ili idumu au niache kabisa kuinunua maana nilipanga ninunue iyo

usicheze games kwa mda mrefu, also usiangalie movies kwa mda mrefu, itumie kwa vitu vidogo kama kusomea na kufanyia light applications
 
Huyu mfanya biashara ana hasira huyo inaonesha hii nashine yake mbovu anaisukuma ili ikamfie mtu
 
Huyu mfanya biashara ana hasira huyo inaonesha hii nashine yake mbovu anaisukuma ili ikamfie mtu

Unapata muwasho mkuu, hii PC nilishauza tangu mwaka jana, wajinga waliponda sana kujifanya wataziba riziki yangu wakashindwa so wewe umechelewa kuona uzi hata ukiponda unapoteza muda maana hata pesa nilishafanyia kitu kingine na ikaisha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom