Hp pavilion inauzwa bei nzuri

Hp pavilion inauzwa bei nzuri

Good Father

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2014
Posts
10,320
Reaction score
18,599
Husika na kichwa cha habari hapo juu.
Nauza laptop aina ya HP PAVILION imetumika kwa miezi miwili tu.
Hii ni brand ambayo ni nzuri kwa portability yake na ni slim laptop na pia brand adimu sana dukani.
Sifa zake
RAM 2GB
PROCESSOR 1.7 GHz
HDD 500GB.
Inakaa na chaji kwa takribani masaa manne na nusu ( battery inakaa 4 hours and 30 minutes).
Bei 500,000 TZS (mazungumzo yatakuepo).
Niko Dar es salaam.
Simu: 0769 567 273 au 0682 785 729.
Tazama picha zake hapa chini ila kutokana na hali ya mawingu picha sio nzuri sana, hivyo mtanisamehe lakini PC ni nzuri sana hii.
 
Attachments

  • 1415107923380.jpg
    1415107923380.jpg
    53.7 KB · Views: 596
  • 1415107944838.jpg
    1415107944838.jpg
    58.9 KB · Views: 554
  • 1415107964048.jpg
    1415107964048.jpg
    81 KB · Views: 533
  • 1415107978529.jpg
    1415107978529.jpg
    66.6 KB · Views: 525
  • 1415107991399.jpg
    1415107991399.jpg
    56.2 KB · Views: 517
500000 ukiongeza 75000 tu ukienda kinondoni pale unapata core I 5 kitu kizuri from kwa wazungu
 
Nenda mbona unaleta mawazo ya kidada hapa, nani amekwambia hii post ni simulizi au idea inayohitaji msaada wa kimawazo?? Usiwe km mmama wa uswazi.
 
Husika na kichwa cha habari hapo juu.
Nauza laptop aina ya HP PAVILION imetumika kwa miezi miwili tu.
Hii ni brand ambayo ni nzuri kwa portability yake na ni slim laptop na pia brand adimu sana dukani.
Sifa zake
RAM 2GB
PROCESSOR 1.7 GHz
HDD 500GB.
Inakaa na chaji kwa takribani masaa manne na nusu ( battery inakaa 4 hours and 30 minutes).
Bei 500,000 TZS (mazungumzo yatakuepo).
Niko Dar es salaam.
Simu: 0769 567 273 au 0682 785 729.
Tazama picha zake hapa chini ila kutokana na hali ya mawingu picha sio nzuri sana, hivyo mtanisamehe lakini PC ni nzuri sana hii.

Kaka ina kidirisha cha cd? Vp ina pot ngapi za usb tufanye biashara kuna 350 fasta
 
am an expert computer technician hizo pavilion ni balaa kuanzia dv9000, dv6000,dv4 hua zina very weak display processor(vga) baada ya mda flani hukata display so inabidi kupigwa hot, hizo machine zilitengenezwa maalum kwa ajili ya nchi za ulaya kama SWEDEN ie nchi zenye baridi kali n.k huu ndio ukwel halisi wala sijakuharibia biashara tunapeana elimu tuu.
 
Mjomba achana na hao watoto wa mimba za gesti siku zote huwa adabu hawana kabisa hili sio jukwaa la kiuni kama anavyozani
 
So what mkuu unataka kila mtu ataje profession yake hapa ili kuonyesha ni mtabe kiasi gani? Fanya yako hapa sio jukwaa la elimu ni jukwaa la matangazo madogo madogo elimu yako nenda jukwaa la elimu.
 
Mkubwa mbona unadharau wadada na wamama?

Siwadharau ila wadada na wamama ndo wanakua na mambo ya kipuuzi kama huyo jamaa kitu sio cha kucomment lakin mtu anakomaa utadhani ni jukwaa la MMU kila mtu kujifanya mwana ushauri hata kwenye kitu ambacho anajua hana ela ya kukinunua
 
Mjomba achana na hao watoto wa mimba za gesti siku zote huwa adabu hawana kabisa hili sio jukwaa la kiuni kama anavyozani

Sio jukwaa la ushauri kama ulivyozoea MMU hapa mteja au mtu aliyekua interested ndo anitafute sasa wewe kiherehere cha nini.?
 
you have to know that jamiiforums is the home for great thinkers brother, mimi kama computer technician kila wakati naletewa hizo pavilion zenye matatizo na kuzifanyia repair hii ni kwa faida yako, ndugu zako na wanajamii kwa ujumla, because hata ndugu yako akihitaji kununua hiyo machine atamshauri asinunue kutokana na hayo matatizo kuepuka hasara.Hizo machine i tell you ni problem sana ukitaka kuamini jaribu kucheza games nzito kama euro track, au kufanya graghic designing or kuangalia movies mfululizo kwa mda mrefu ile display chip hupata joto sana na baada ya muda kufail kabisa na machine kushindwa ku-display na kuleta black screen, so ni hayo tuu mkuu.
 
Infact GT hua anaangalia cha kuongea na anapotoa hayo maneno ni wapi sio unakurupuka tu, kama una nia ya kutoa elimu fungua uzi wako anza kutoa elimu ya PC sio usubiri mtu ana product yake anauza ndo ulete udada wako kisa una vimadesa vyako kichwani baada ya kukariri kwa muda mrefu.
Nikuulize we unajua huyo potential customer anahitaji kucheza games?? What if ni mwanafunzi wa madesa tu?? Wabongo hatuendelei kwa sababu ya kupenda kurukia mambo na kujifanya tuko nondo kila kona.
Kama unahitaji kutoa elimu nenda jukwaa la elimu hii ni business mkuu sasa ungekua wewe unauza product yako alafu mtu analeta utumbo kwenye thread yako ungemjibu nini think as a great thinker sasa.
Kama nia yako ni kutoa elimu sikuzuii kutoa elimu cha msingi fungua uzi jukwaa la elimu hutaona kama nakujibu haya ninayokujibu hapa, kwa maana utakua umefanya jambo sahihi mahali sahihi.
Sasa unawezaje kutoa elimu inayovuruga business yangu?? Unategemea nini kwamba unanisaidia?? Kama vipi peleka proposal serikalini ili wasiruhusu importation ya HP PAVILION otherwise ni unafiki tu.
 
pole sana nadhani nimekushika na kukuchoma sehemu nyeti kabisa ndio maana umechanganyikiwa mithili ya ndugu zetu wa milembe, cha muhimu wana-jamii wamepata elimu na ujumbe for my side nipo ki-practical zaidi kuliko kinadharia hiyo machine kawauzie hao wasiokua na elimu ikawafie sio ma-great thinkersss.
 
Kwa uelewa wako unaona kama unatumia akili ila mimi naelewa hizo tabia ni za watu wenye vinasaba vya gays
 
pole sana naendelea kusema nimekushika sehemu nyeti kabisa nadhani moyo unaenda mbio huamini kilichotokea endelea kujikaza tuu ndio dunia hii.. wewe utumie computer miezi miwili then umejua machine ni mbovu uje kutuuzia ma-great thinkers hiyo mpe mtoto achezee kama toy.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom