Hp pavilion inauzwa bei nzuri

Hp pavilion inauzwa bei nzuri

pole sana naendelea kusema nimekushika sehemu nyeti kabisa nadhani moyo unaenda mbio huamini kilichotokea endelea kujikaza tuu ndio dunia hii.. wewe utumie computer miezi miwili then umejua machine ni mbovu uje kutuuzia ma-great thinkers hiyo mpe mtoto achezee kama toy.

Zuzu tu maana unabishana na mimi unahisi mimi sina knowledge yoyote kuhusiana na computer? Narudia kusema hapa sio sehemu ya kujionyesha mkuu, GT hanaga mipasho wala udaku bila shaka ni from kwa akina aunt Ally n.k
 
dogo nimekukamata, nimekushika na nimekubonda sehemu nyeti kabisa na kitu cha moto jitahidi kustahimili hilo kopo kawauzie watu wa porini sio huku kwenye mitandao ya kijamii tena ma-great thinkers, eti unatuuzia mayai mabovu tukae kimya kwa sababu ni biashara, jamiiforums tunafanya biashara bora na zenye viwango huwa hatuuzi vitu vibovu. work up ndio maana kila member amekwenda opposite na wewe jaribu kupitia watu walivyo-comment ujiangalie upya.
 
Zuzu tu maana unabishana na mimi unahisi mimi sina knowledge yoyote kuhusiana na computer? Narudia kusema hapa sio sehemu ya kujionyesha mkuu, GT hanaga mipasho wala udaku bila shaka ni from kwa akina aunt Ally n.k
dogo nimekukamata, nimekushika na nimekubonda sehemu nyeti kabisa na kitu cha moto jitahidi kustahimili hilo kopo kawauzie watu wa porini sio huku kwenye mitandao ya kijamii tena ma-great thinkers, eti unatuuzia mayai mabovu tukae kimya kwa sababu ni biashara, jamiiforums tunafanya biashara bora na zenye viwango huwa hatuuzi vitu vibovu. work up ndio maana kila member amekwenda opposite na wewe jaribu kupitia watu walivyo-comment ujiangalie upya...
 
Husika na kichwa cha habari hapo juu.
Nauza laptop aina ya HP PAVILION imetumika kwa miezi miwili tu.
Hii ni brand ambayo ni nzuri kwa portability yake na ni slim laptop na pia brand adimu sana dukani.
Sifa zake
RAM 2GB
PROCESSOR 1.7 GHz
HDD 500GB.
Inakaa na chaji kwa takribani masaa manne na nusu ( battery inakaa 4 hours and 30 minutes).
Bei 500,000 TZS (mazungumzo yatakuepo).
Niko Dar es salaam.
Simu: 0769 567 273 au 0682 785 729.
Tazama picha zake hapa chini ila kutokana na hali ya mawingu picha sio nzuri sana, hivyo mtanisamehe lakini PC ni nzuri sana hii.

Mzee hungekuwa unajua computer husingenunua HP PAVILION! coz izo computer kimeo sana kama upo bongo zinakufa vga coz zinaoverheat kutokana na joto la bongo. ni za sehemu za baridi, we uza kwa hasara coz mda si mrefu vga kwesha na ndio mwisho wa mchezo! Tafuta boya uza! Au tumia external feni kupooza machine!
 
Nautoke hapa mazima!Pc yenye haina CD-ROM kumbe,alafu unakuja kusingizia mawingu apa.Em ka survey bei ya pc alafu urudi kuandika unaiuza 250k tena Kwa MSAADA!
 
am an expert computer technician hizo pavilion ni balaa kuanzia dv9000, dv6000,dv4 hua zina very weak display processor(vga) baada ya mda flani hukata display so inabidi kupigwa hot, hizo machine zilitengenezwa maalum kwa ajili ya nchi za ulaya kama SWEDEN ie nchi zenye baridi kali n.k huu ndio ukwel halisi wala sijakuharibia biashara tunapeana elimu tuu.

Mkuu Heri lee nina mpango wa kununua desktop yenye uwezo mkubwa wa ku process na pia HDD kubwa for installation of heavy softwares and Heavy Games ushauri wako kuhusu specifications na wapi pa kuipata Bongo? I prefer Dell brand. Ur com,ent will be highly appreciated.
 
Last edited by a moderator:
acha kututania pc ram 2gb haina cd rom na processor ni 1.7ghz halafu ni used tayari unaiuza laki 5?? labda useme 2.5
 
am an expert computer technician hizo pavilion ni balaa kuanzia dv9000, dv6000,dv4 hua zina very weak display processor(vga) baada ya mda flani hukata display so inabidi kupigwa hot, hizo machine zilitengenezwa maalum kwa ajili ya nchi za ulaya kama SWEDEN ie nchi zenye baridi kali n.k huu ndio ukwel halisi wala sijakuharibia biashara tunapeana elimu tuu.

Mkuu true say ...ya kwangu n dv 6 pavilion...ram 6gb, processr n 3ghz II dual core na hdd 500 gb...imekataa display jana...so ntapataje msaada wako ..vp inaweza tengenezeka..naipenda sana my laptop...nichek 0712441899 kma una msaada wowote
 
Hilo lijamaa linalouza hiyo hp ni bishi kama mshipa yaani sijui likoje linaelezwa lakini gumu kufahamu n uenda anauza sababu ameambia hiyo kitu kimeo
 
jamaa unauza shipa kwa bei ndefu wakati kwa bei hiyo unapata brand laptop inbox yenye
specs zilizosimama.
 
Mawingi na wakati umeipigia picha ndani lioni hata aibu hana imekula kwako humu watu hawanunui vitu vibovuuuuuu
 
am an expert computer technician hizo pavilion ni balaa kuanzia dv9000, dv6000,dv4 hua zina very weak display processor(vga) baada ya mda flani hukata display so inabidi kupigwa hot, hizo machine zilitengenezwa maalum kwa ajili ya nchi za ulaya kama SWEDEN ie nchi zenye baridi kali n.k huu ndio ukwel halisi wala sijakuharibia biashara tunapeana elimu tuu.
hiyo ni kweli kabisa brother hata mimi nilishawahi nunua LAPTOP HP PALIVION 15-N001SX baadae ilikuja nifanyia mchezo mbaya sana ikawa ukiwasha inaonyesha imewaka lakini iko BLACK SCREEN
mpaka wa leo nishazunguka kwa mafundi mpaka nikawadharau kumbe insue ndo iko ivyo asante kwa kunifungua macho kama vp ni pm unipe namba zako ili tuongee zaidi ikibidi nikufike ulipo mkubwa
 
Mkuu true say ...ya kwangu n dv 6 pavilion...ram 6gb, processr n 3ghz II dual core na hdd 500 gb...imekataa display jana...so ntapataje msaada wako ..vp inaweza tengenezeka..naipenda sana my laptop...nichek 0712441899 kma una msaada wowote

hata yangu imekata display toka mwezi wa 5 mpaka wa leo sijapata solution ya tatizo langu ila jamaa kanena neno limeniingia kikweli kweli
 
HAHAAAAAA jamaaa muuzaji kasepa!!!!harudii tena kubishania utumbo
 
Mkuu true say ...ya kwangu n dv 6 pavilion...ram 6gb, processr n 3ghz II dual core na hdd 500 gb...imekataa display jana...so ntapataje msaada wako ..vp inaweza tengenezeka..naipenda sana my laptop...nichek 0712441899 kma una msaada wowote
unichek 0762-647575 nitakuwekea sawa kabisa na isisumbue tena.
 
kama upo dar utanichek 0762-647575 nitaiweka fresh na kui-loop isikae isumbue tena

mkubwa niko mbali na dar niko serengeti ila nitafanya mpango mzigo ukufikie asante sana kwa ushirikino
 
Asante sana Heri lee hata mimi umenifungua macho.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom