Mtangoo
JF-Expert Member
- Oct 25, 2012
- 6,163
- 5,624
Nahitaji Battery preferably toka kwa mawakala wa HP aina ya Probook 45xx series.
Napenda kujua bei yake pia na mahali Lazima iwe Dsm.
Pia Windows 7 Iliyokuja na Laptop imepata shida na nahitaji wai fix Maana CD zake zote ( Win7, XP SP3, Drivers, et al) Zimepatwa na majanga na hazifai tena. Ila namba ya CD Key ipo!