Ally Msangi
JF-Expert Member
- Jun 29, 2010
- 610
- 124
kampuni kubwa duniani ya kutengeneza computer aina ya HP. Hapo jana wamefanya mazungumzo na rais wa Tanzania Dkt. Jakaya kikwete baada ya mkutano wa World Economic Forum hapo jana.
Tusubiri maendeleo toka kwa muwekezaji huyo. Nadhani Tanzania inaelekea kuzuri kwenye upande wa teknolojia.
source plzzzzzz.......
jamani msiwe so close minded, naposema kufungua namaanisha ni on planing proces dats why ktk detail nilizotoa nimesema, wamefanya mazungumzo na mmiliki wa kampuni hyo na kutoa hyo plan ya kufungua kiwanda. So its a plan na kama wametamka kutaka kufungua hapa wats the problem.
kampuni kubwa duniani ya kutengeneza computer aina ya HP. Hapo jana wamefanya mazungumzo na rais wa Tanzania Dkt. Jakaya kikwete baada ya mkutano wa World Economic Forum hapo jana.
Tusubiri maendeleo toka kwa muwekezaji huyo. Nadhani Tanzania inaelekea kuzuri kwenye upande wa teknolojia.
zing, unachobisha nikipi, nadhani hujui wat hapened ths week in south africa. It was an economic forum ambayo makampuni mbalimbali na nchi zote duniani walikutana na kujadili njia za kukuza uchumi wa nchi zao. And thats were jk aka meet na uongozi wa HP na kumpa mkakati wao wakutaka kupanua zaidi wigo wa kampuni yao mpaka tanzania na kufanya tanzania kuwa base ya products zao kwa kufungua kiwanda cha kuzalisha bidhaa zao hapa na spare parts zake.
Na hii plan sio kama Jk ameomba, wao ndio wametoa hyo proposa na jk amewakaribisha.