HP Elitebook 840 G5 Touchscreen Inahitajika

HP Elitebook 840 G5 Touchscreen Inahitajika

GwaB

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2014
Posts
5,063
Reaction score
6,762
Nahitaji screen ya HP elitebook 840 G5 ... Kwa yeyote anayeweza kuipata na ana nia ya kuiuza tuwasiliane kupitia PM. 🙏
 
Mkuu nina HP pavilion 360 Core7 10th Generation.
Touch screen, graphic and gaming computer, karibu PM
 
Mkuu nina HP pavilion 360 Core7 10th Generation.
Touch screen, graphic and gaming computer, karibu PM
Asante kwa taarifa Hii, nimeishapata replacement 👍
Mtafute ubepari pc - Insta.

Utashindwa wewe mkuu.
Asante sana mkuu, nitamtafuta angalau nikipata mtu anayehitaji. Nimeishapata mdau 🙏
Mchek huyu atakusaidia mkuu 0682202114
Nathamini ushirikiano wako na kuwa tayari ku-share taarifa muhimu. Nimepata mtu wa kurekebisha mashine inafanya kazi. However nitautunza uzi huu kwa wakati ujao 🙏
 
Back
Top Bottom