Mkuu hapo ndo huwa unaniacha,Mimi nataka PC nzuri kwa ajili ya kucheza games hizi latest na budget iwe friendly,nishauri mkuu kuhusu hizo core na graphics2nd generation bado ni nzuri kwa viwango vya sasa. i3 ya 4th generation inapitwa na i5 ya 2nd.
benchmark nyingi zinaonesha i3 ya 6th generation ndio equivalent na i5 ya 2nd ila hii ni mulithreaded. kwenye single thread i3 kuanzia 3rd gen mpaka 6th gen zote zinaipita i5.